Nenda kwa yaliyomo

Revaz Gabriadze

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Revaz "Rezo" Gabriadze (29 Juni 1936 - 6 Juni 2021) alikuwa muigizaji na mwongozaji wa filamu na mtunzi wa kuigiza wa Georgia. [1]

Bibliografia

[hariri | hariri chanzo]
  • Chito ГК-49-54 au Daktari na Mgonjwa, Chapisho Sani, 2003
  • The Eccentrics, 1983, Chapisho Sani, 2002, Magti 2014
  • Kutaisi ni Jiji, Chapisho Sani, 2002
  • The White Bridge, Rezo Gabriadze, 1987

Tuzo na Heshima za Fasihi

[hariri | hariri chanzo]
  • Nika Award 1991 kwa filamu bora ya skrini Passport
  • Mshindi wa Tuzo ya Triumph, 1997, Urusi
  • Mshindi wa Golden Mask, 1997, Urusi
  • Mshindi wa Tuzo ya Tamthilia ya Golden Soffit, 1997, Urusi
  • Mshindi wa Shota Rustaveli State Prize ya Georgia, 1989
  • Mshindi wa USSR State Prize, 1989
  • Mshindi wa State Prize of Georgia, 1987
  • Tuzo maalum ya Tamthilia ya Kimataifa ya Filamu Mar-Del-Plate 1970 (X) kwa skrini Don’t Grieve
  • Diploma ya Tamthilia ya Kusini ya Caucasus na Ukraine III 1969 kwa skrini bora Extraordinary Exhibition

Skripti Zilizochaguliwa

[hariri | hariri chanzo]
Filamu
Mwaka Kichwa Maelezo
1990 Passport
1986 Kin-dza-dza!
1977 Mimino
1969 Don't Grieve
  1. Peter Rollberg (2009). Historical Dictionary of Russian and Soviet Cinema. US: Rowman & Littlefield. ku. 232–233. ISBN 978-0-8108-6072-8.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Revaz Gabriadze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.