Renato Augusto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Renato Augusto

Renato Augusto (alizaliwa tarehe 8 Februari mwaka 1988) ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya China Beijing Guoan.

Beijing Guoan[hariri | hariri chanzo]

Mnamo tarehe 6 mwezi Januari mwaka 2016, Augusto alijiunga na klabu ya Kichina iitwayo Beijing Guoan kwa ada ya taarifa ya 8,000,000.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Renato Augusto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.