Remigius wa Rouen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Remigius wa Rouen.

Remigius au Remedius wa Rouen (alifariki 771) alikuwa mwanaharamu wa Karolo Nyundo, waziri mkuu wa Wafaranki akawa askofu mkuu wa Rouen miaka 755-762.

Alichangia sana kueneza liturujia ya Roma badala ya ile asili ya Galia.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Januari. He was instrumental in implementing the Roman rite and chant in the Gallic church.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.