Nenda kwa yaliyomo

Reinhold Bocklet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Reinhold Bocklet (5 Aprili 194323 Agosti 2025) alikuwa mwanasiasa wa Ujerumani na mwakilishi wa Chama cha Christian Social Union cha Bavaria.

Alikuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Jimbo la Bavaria tangu mwaka 2009.

Bocklet alifariki tarehe 23 Agosti 2025, akiwa na umri wa miaka 82. [1][2][3]

  1. German National Library
  2. "CSU". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-09-01. Iliwekwa mnamo 2025-08-24.
  3. Früherer Landtags-Vizepräsident Reinhold Bocklet ist tot (in German)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Reinhold Bocklet kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.