Reichshofstadion
Mandhari
Reichshofstadion ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Austria. Ulizinduliwa kwenye mji wa Lustenau nchini Austria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya SC Austria Lustenau na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 8,800.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Reichshofstadion kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |