Nenda kwa yaliyomo

Regina Zernay Roberts

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Regina Zernay Roberts ni mwanamuziki, mwimbaji na mwandishi wa nyimbo kutoka Marekani. Yeye ni mwimbaji mkuu na mpigaji bass wa kundi la Detroit Diesel Power.[1][2][3]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Regina Zernay Roberts kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.