Nenda kwa yaliyomo

Regina Tavares da Silva

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Regina Tavares da Silva ni mwanasiasa, mwanaharakati wa ufeministi, mtafiti wa historia na mtaalamu wa kimataifa wa haki za wanawake kutoka nchini Ureno. Ameongoza mashirika kadhaa ya wanawake, ya Ureno na ya kimataifa. Anajulikana zaidi kwa msisitizo wake kwamba usawa wa wanawake haupaswi kuchukuliwa kama suala la kijamii pekee, bali kama hitaji muhimu la demokrasia na haki za binadamu.[1]

  1. ↑ [(https://eige.europa.eu/women-and-men-inspiring-europe-resource-pool/maria-regina-tavares-da-silva) "Maria Regina Tavares da Silva"]. EIGE. Iliwekwa mnamo 4 Januari 2021. {{cite web}}: Check |url= value (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Regina Tavares da Silva kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.