Regina Melanie
Mandhari
Regina Melanie (29 Agosti 1932 – 1 Machi 2016) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka Shelisheli. Alijihusisha sana na juhudi za kuandika, kuhifadhi na kuendeleza lugha ya Krioli ya Shelisheli.[1][2]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Seychelles loses one of its literary gems". Seychelles Weekly. 2016-03-03. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-09-08. Iliwekwa mnamo 2021-02-09.
- ↑ "Madanm Regina Melanie in kit nou a laz 76 an". Ministry of Youth Sports & Culture (kwa Krioli ya Shelisheli). 2016-03-03. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Machi 16, 2016. Iliwekwa mnamo 2021-02-09.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unfit URL (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Regina Melanie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |