Nenda kwa yaliyomo

Regina Halmich

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Regina Halmich

Halmich mwaka 2017
Amezaliwa 22 Novemba 1976 (1976-11-22) (umri 49)
Karlsruhe, Ujerumani Magharibi
Nchi Ujerumani
Mtindo Mtindo wa kawaida
Uzito
  • Uzani wa Nzi Mwepesi
  • Uzani wa Nzi
  • Uzani wa Nzi Mkubwa
Urefu futi 5 inchi 3

Regina Halmich (alizaliwa 22 Novemba 1976) ni bondia wa zamani wa ngumi za kulipwa wa Ujerumani. Yeye ni miongoni mwa mabondia wa kike waliofanikiwa zaidi kwa wakati wote na alisaidia kuitangaza na kufanya michezo ya ngumi ya wanawake kuwa maarufu barani Ulaya.

Kazi ya ridhaa

[hariri | hariri chanzo]

Halmich alikuwa bingwa wa Ujerumani katika mchezo wa ngumi za mateke (kickboxing) akiwa mwanamichezo wa ridhaa mnamo mwaka 1992, 1993, na 1994, mwaka ambao pia alijinyakulia taji la Ulaya.[1]

  1. ↑ "Regina Halmich - Bio" (kwa Kijerumani). Regina Halmich official website. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2017.