Red Valentine
Mandhari
Red Valentine ni filamu ya mwaka 2008[1] iliyotayarishwa na kutengenezwa na Mtitu G. Game.
Ni filamu inayomzungumzia Nicholaus akimshutumu mke wake Vivian kwa kushidwa kupata mimba wakati huo huo yeye hataki kwenda hospitali kugundua chanzo ni nini. wakai huo huo kimada ambaye n mwanafunzi wake ambaye ni Victoria anapata ujauzito lakini ujauzito huo sio wa Nicholaus kama alivyo dhani[2], matukio yote hayo yanapelekea kuvunjika kwa mapenzi na hofu kubwa ya mimba hivyo kusababisha misukosuko katika familia.[3] Filamu hii iliongozwa na Mwongozaji Mtitu G. Game na kuandikwa na Elizabeth Chijumba.
Washiriki
[hariri | hariri chanzo]- Steven Kanumba kama Nicholaus
- Wema Sepetu kama Vivian
- Jacqueline Wolper kama Victoria[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- 1 2 Game, Mtitu G., Red Valentine, Majid Abdallah, Abdul Ahmed, Damas Clement, Game 1st Quality, iliwekwa mnamo 2025-08-24
- ↑ Red Valentine (2008) (kwa Kiingereza), iliwekwa mnamo 2025-08-24
- ↑ "Red valentine : true lies | WorldCat.org". search.worldcat.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-08-24.