Bahari ya Shamu, Sudan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Red Sea, Sudan)
Jump to navigation Jump to search
Mahali pa Bahari ya Shamu katika Sudan

Bahari ya Shamu Kiarabu: البحر الأحمرinayotafsiriwa kama: al-Bahr al-Ahmar) ni moja ya Wilayat au majimbo 26 ya Sudan. Lina ukibwa wa eneo la 218,887 km ² na wakaazi wanaokadiriwa kuwa 700,000 (2000). Port Sudan ndio mji mkuu wa jimbo hili. Sudan bado inadai, lakini haina udhibiti katika Hala'ib Triangle, mkoa ambao umekuwa chini ya utawala wa Misri tangu 2000.


Majiranukta kwenye ramani: 19°35′N 35°37′E / 19.583°N 35.617°E / 19.583; 35.617 Kigezo:Makala ya mbegu ya jio ya Sudan


Flag-map of Sudan.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Sudan bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bahari ya Shamu, Sudan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.