Nenda kwa yaliyomo

Red Bull Arena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Red Bull Arena ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Austria. Ulizinduliwa kwenye mji wa Salzburg nchini Austria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Red Bull Salzburg na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 30,188.[1]

  1. "UEFA Europa League - Salzburg-Krasnodar". Union of European Football Associations. Iliwekwa mnamo 10 Januari 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Red Bull Arena kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.