Nenda kwa yaliyomo

Rebecca Nabutola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rebecca M. Nabutola (alizaliwa 17 Januari 1959) ni aliyewahi kuwa Katibu Mkuu (Permanent Secretary – PS) wa Wizara ya Utalii na Wanyamapori ya Kenya. Nabutola alisoma katika Institute of Social Studies, The Hague, ambako alipata stashahada ya Mahusiano ya Kimataifa na Maendeleo, na pia katika Chuo Kikuu cha Nairobi, alikohitimu Shahada ya Sanaa (Bachelor of Arts).[1]

  1. "Profile". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-11-22. Iliwekwa mnamo 2008-05-05.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rebecca Nabutola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.