Nenda kwa yaliyomo

Rebecca Kadaga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rebecca Alitwala Kadaga (alizaliwa 24 Mei 1956) ni mwanasheria na mwanasiasa wa Uganda aliyewahi kuhudumu kama Spika wa Bunge la Uganda kuanzia tarehe 19 Mei 2011 hadi 21 Mei 2021. Kwa sasa ni Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza wa Uganda na Waziri wa Masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Baraza la Mawaziri la Uganda.[1]

  1. "New Cabinet: Museveni drops Kutesa, 10 ministers". The Independent (Uganda). Kampala, Uganda. 9 Juni 2021. Iliwekwa mnamo 16 Julai 2021.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rebecca Kadaga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.