Nenda kwa yaliyomo

Razia Butt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Razia Butt alikuwa mwandishi wa riwaya za Kiurdu na mtunzi wa tamthilia kutoka Pakistan. Alikuwa miongoni mwa waandishi mashuhuri wa fasihi ya kubuni maarufu (popular fiction) katika miaka ya 1960 na 1970, na mara nyingi alilinganishwa na mwandishi wa Kiingereza Barbara Cartland kutokana na umaarufu wake mkubwa miongoni mwa wasomaji wa nyumbani.(https://www.dawn.com/news/1652895/popularity-literary-finesse-and-some-urdu-bestsellers|title=Popularity), literary finesse and some Urdu bestsellers|date=19 Oktoba 2021|website=Dawn}[1]

Baadhi ya kazi zake zilibadilishwa kuwa tamthilia za televisheni na filamu, zikiwemo Bano.[2]

  1. ↑ Abbas Akhtar (18 Mei 2008). [(http://vidpk.com/12317/Writer--Novelist-Razia-Butt-in-Brunch-w-Bushra-P-35/) "Writer & Novelist Razia Butt in Brunch w/ Bushra P-3/5"]. Vidpk.com. Iliwekwa mnamo 21 Oktoba 2012. {{cite web}}: Check |url= value (help)
  2. ↑ ["Dastaan): History on TV". Express Tribune. 24 Septemba 2011. {{cite web}}: Check |url= value (help)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Razia Butt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.