Nenda kwa yaliyomo

Razaq Deremi Abubakre

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Razaq Deremi Abubakre (alizaliwa 20 Januari 1948) alikuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al-Hikmah, kilichopo Ilorin, Jimbo la Kwara, nchini Nigeria pia ni profesa mstaafu na aliwahi kuhudumu kama Kamishna wa Shirikisho katika Tume ya Malalamiko ya Umma kati ya mwaka 2012 na 2018. [1][2]

  1. Adegun, Aanu (2022-08-15). "Election will validate Tinubu's acceptability in southwest". Legit.ng - Nigeria news. (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-06.
  2. "Emeritus Osun professor pays tribute to late KWASU Vice Chancellor - Realnews Magazine" (kwa American English). 2022-11-23. Iliwekwa mnamo 2023-03-06.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Razaq Deremi Abubakre kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.