Nenda kwa yaliyomo

Raymond Sackler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Raymond Sackler KBE (Februari 16, 1920 – Julai 17, 2017) alikuwa daktari na mfanyabiashara nchini Marekani.[1]Alinunua Purdue Pharma pamoja na kaka zake Arthur M. Sackler na Mortimer Sackler. Purdue Pharma ndiyo mtengenezaji wa OxyContin, dawa iliyokuwa katikati ya janga la opioid nchini Marekani.[2][3][4]

  1. ↑ admin (18 Julai 2017). "Raymond Sackler Obituary - Greenwich, Connecticut". Legacy.com. Iliwekwa mnamo 20 Julai 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ "The Secretive Family Making Billions From the Opioid Crisis". Esquire (kwa Kiingereza). 2017-10-16. Iliwekwa mnamo 2017-10-25.
  3. ↑ Keefe, Patrick Radden (2017-10-23). "The Family That Built an Empire of Pain". The New Yorker. ISSN 0028-792X. Iliwekwa mnamo 2017-10-25.
  4. ↑ Langer, Emily (Julai 21, 2017). "Raymond Sackler, philanthropist and maker of OxyContin, dies at 97". Washington Post. Iliwekwa mnamo Desemba 29, 2017.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Raymond Sackler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.