Nenda kwa yaliyomo

Rauan Kenzhekhanuly

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rauan Kenzhekhanuly (alizaliwa Mei 1, 1979) ni mjasiriamali na mwanaharakati wa mashirika yasiyo ya kiserikali aliyetunukiwa kuwa mwana Wikipedia wa kwanza wa mwaka 2011 agosti na mwanzilishi wa Wikipedia Jimmy Wales ndani ya  Wikimania.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Wikipedia co-founder Jimmy Wales restricts discussion of Tony Blair friendship". www.telegraph.co.uk. Iliwekwa mnamo 2022-09-29.