Rasqulla
Mandhari

Rasqulla (kihalisi "mpira iliyojaa maji")[1] ni kitindamcho chenye sharubati maarufu katika sehemu ya mashariki ya Asia Kusini. Imetengenezwa kutokana na maandazi yenye umbo la mpira ya unga wa chhena uliopikwa kwenye sharubati ya sukari hadi sharubati iingie kwenye maandazi.

ingawa inakubalika kote ulimwenguni kwamba kitindamlo kilitoka katika bara dogo la India, eneo halisi la asili linabishaniwa kati ya maeneo kama vile West Benga[2]na [3] Odisha,[4]ambapo hutolewa katika Puri Jagannath Temple.
| Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Help:IPA/Hindi and Urdu", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2026-07-16, iliwekwa mnamo 2026-07-25
- ↑ Subodhchandra Sengupta (1960). Samsad Bangla Charitabhidhan.
- ↑ Bishwanath Ghosh (2014-11-15). "Kolkata Chromosome: Like KC for ‘rossogolla'". mint (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2026-07-25.
- ↑ "Panel seal on rasgulla's Odisha origin", The Telegraph, iliwekwa mnamo 2026-07-25