Rashid Sumaila

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Rashid Sumaila (alizaliwa 18 Desemba 1992 katika Cape Coast) ni mchezaji wa soka wa Ghana ambaye anacheza katika klabu ya Red Star Belgrade kwa mkopo kutoka katika klabu ya Qadsia SC kama beki na pia ni mwanachama wa timu ya taifa ya Ghana.

Sumaila alishinda tuzo ya Ghana ya Nahodha bora wa mwaka 2011 mwishoni mwa msimu wa mwaka 2010-11 katika Glo Premier League.

RC Lens[hariri | hariri chanzo]

RC lens walivutiwa na kijana mwenye nguvu katika kikosi cha timu yake ya kwanza ya soka ya Ghana.

Red Star Belgrade[hariri | hariri chanzo]

Mnamo tarehe 28 Juni 2018, Sumaila alijiunga na klabu ya Serbia iitwayo Red Star Belgrade kwa mpango wa mkopo wa mwaka mmoja(1).

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rashid Sumaila kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.