Raphael Chegeni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Raphael Masunga Chegeni)
Rukia: urambazaji, tafuta

Dr. Raphael Masunga Chegeni (amezaliwa 25 Mei 1964) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Busega kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017