Nenda kwa yaliyomo

Rania Salmi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rania Salmi (kwa Kiarabu: رانيا السالمي; alizaliwa tarehe 14 Oktoba 1998) ni mchezaji wa soka kutoka Morocco anayekipiga katika nafasi ya mshambuliaji kwa klabu ya Al Ahli SFC ya Saudi Arabia na timu ya taifa ya wanawake ya Morocco.[1][2][3][4]

Salmi aliwahi kufanya mazoezi na klabu ya Wydad AC. Mwaka 2018, aliachana na Wydad na kujiunga na klabu ya Atlas 05. Mwaka 2021, alijiunga na Sporting Casablanca, klabu iliyopanda daraja hadi ligi ya kwanza. Baadaye, klabu za Atlas 05 na Sporting Casablanca ziliungana.[5]

  1. "Promoted: Sporting Club Casablanca". Instagram. Iliwekwa mnamo 15 Agosti 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "رانيا السالمي لاعبة سبورتينغ الدارالبيضاء أفضل لاعبة لشهر أبريل". Facebook. 18 Mei 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Duret, Sebastien (15 Januari 2018). "Coupe du Monde U20 2018 (Afrique) - Le NIGERIA prend une option, le GHANA obtient le nul au CAMEROUN" (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 18 Juni 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Sebastián, Rubén (5 Agosti 2018). "SELECCIÓN NACIONAL INDIA vs SELECCION NACIONAL MARRUECOS". Cotif Alcudia (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 18 Juni 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Morocco (Women) 2021/22". RSSSF. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Novemba 2022. Iliwekwa mnamo 15 Agosti 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rania Salmi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.