Nenda kwa yaliyomo

Range Rover (L405)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Land Rover Range Rover Autobiography 2016

Land Rover Range Rover (L405), maarufu kama Range Rover, ni gari la kifahari lenye uwezo wa 4x4 lililotengenezwa na Jaguar Land Rover chini ya chapa ya Land Rover. Ni kizazi cha nne cha mfululizo wa asili wa Range Rover. Gari hili lina muundo wa mwili wa monocoque wa aluminium, tofauti na unibody ya chuma ya kizazi cha tatu, na kufanya kuwa 4x4 ya kwanza ya uzalishaji kutumia teknolojia hiyo, ikipunguza uzito kwa kilo 420 ikilinganishwa na mtangulizi wake[1].

  1. "The All-New Range Rover". Newsroom.jaguarlandrover.com. Iliwekwa mnamo 2017-10-10.
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.