Nenda kwa yaliyomo

Randall Newman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Randall Newman

Randall Newman ni mjasiriamali kutoka nchini Botswana na mwanzilishi pamoja na Mkurugenzi Mtendaji (CEO) wa kampuni ya Verbosec..[1][2]

Maisha ya awali na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Newman alizaliwa na kukulia katika mji mkuu Gaborone, ambapo pia alitumia utoto wake. Alipata elimu yake ya sekondari katika St. Joseph’s College, Kgale.

Ana Shahada ya Kwanza ya Sanaa (Bachelor of Arts) yenye heshima katika Ujasiriamali na Uongozi wa Biashara (Entrepreneurship and Business Leadership) kutoka Sheffield Hallam University, kwa ushirikiano na Botswana Accountancy College.[3]

  1. "THE AI REVOLUTION". PressReader. Iliwekwa mnamo 2024-12-01.
  2. Tlhankane, Mompati (2021-01-15). "Forbes 30 under 30 finalists embark on a blood donation drive". Mmegi Online (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-12-01.
  3. Mathala, Sharon (2020-09-29). "Redefining entrepreneurship » TheVoiceBW". TheVoiceBW (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2024-12-01.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Randall Newman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.