Nenda kwa yaliyomo

Ramona Mănescu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ramona Nicole Mănescu (alizaliwa 6 Desemba 1972 mjini Constanța) ni mwanasiasa na mwanasheria wa Romania. Alihudumu kama **Waziri wa Mambo ya Nje** wa Romania kuanzia Julai hadi Novemba 2019.[1]


  1. "Ramona-Nicole Mănescu takes over as minister of Foreign Affairs". Ministry of Foreign Affairs. Iliwekwa mnamo Julai 8, 2019.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ramona Mănescu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.