Nenda kwa yaliyomo

Ramkrishna Bajaj

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ramkrishna Bajaj (1923–1994) alikuwa mfanyabiashara kutoka India na mpigania uhuru ambaye pia alikuwa mshirika wa karibu wa Mahatma Gandhi. Alikuwa akijieleza kama “mpagazi (coolie) wa Mahatma Gandhi”. Alifungwa gerezani kwa miaka minne, kuanzia 1942 hadi 1946, kutokana na kushiriki katika Harakati ya Kutoka India.[1]


  1. [(https://www.news18.com/news/opinion/when-a-bajaj-took-on-the-gandhis-those-gunning-for-rahul-bajaj-dont-know-his-family-legacy-2407971.html) "When a Bajaj Took On the Gandhis: Those Gunning for Rahul Bajaj Don't Know His Family Legacy"]. News 18. 2 Desemba 2019. [(https://web.archive.org/web/20210205121037/https://www.news18.com/news/opinion/when-a-bajaj-took-on-the-gandhis-those-gunning-for-rahul-bajaj-dont-know-his-family-legacy-2407971.html) Ilihifadhiwa kwenye nyaraka] kutoka chanzo mnamo 5 Februari 2021. Iliwekwa mnamo 2 Machi 2022. {{cite news}}: Check |archive-url= value (help); Check |url= value (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ramkrishna Bajaj kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.