Nenda kwa yaliyomo

Ramil Guliyev

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ramil Guliyev (alizaliwa Azerbaijani, 29 Mei 1990) ni mwanariadha wa Uturuki ambaye alishiriki katika mbio za mita 100 na 200. [1] [2] Katika Mashindano ya Dunia ya mwaka 2017, Guliyev alikua Bingwa wa Dunia katika mita 200, na kushinda medali ya kwanza ya dhahabu ya Uturuki katika Mashindano ya Dunia. [3] Klabu yake ni Fenerbahçe Athletics. Mwaka 2018 alishinda medali ya dhahabu katika mbio za mita 200 kwenye Mashindano ya Uropa.

  1. "Azərbaycan atleti Ramil Quliyev dünya çempionatına mübarizə aparacaq".
  2. "Рамиль Гулиев завоевал вторую золотую медаль для Азербайджана на Универсиаде".
  3. "Turkey win their first ever gold at World Championship". Sky Sports. 11 Agosti 2017.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ramil Guliyev kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.