Ralph Lauren
Mandhari
Ralph Lauren (Alizaliwa Oktoba 14, 1939) ni mbunifu wa mitindo bilionea, mfadhili, na mfanyabiashara nchini Marekani, alijulikana zaidi kwa kuanzisha chapa ya Ralph Lauren, biashara ya kimataifa yenye thamani ya mabilioni ya dola.[1] Alijiuzulu kama afisa mkuu mtendaji wa kampuni mnamo Septemba 2015 lakini anabaki kama mwenyekiti mtendaji na afisa mkuu wa ubunifu.[2] Kufikia Mei 2025, utajiri wake unakadiriwa kuwa dola bilioni 11.9.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ralph Lauren steps down as CEO of his fashion firm". CNBC.com. Septemba 29, 2015. Iliwekwa mnamo Mei 4, 2018.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Milligan, Lauren (Septemba 30, 2015). "Ralph Lauren Steps Down As CEO".
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Forbes profile: Ralph Lauren". Forbes. Iliwekwa mnamo 28 Mei 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ralph Lauren kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |