Nenda kwa yaliyomo

Rajagopala Chidambaram

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rajagopala Chidambaram

Rajagopala Chidambaram (Novemba 11, 1936Januari 4, 2025) alikuwa mwanafizikia kutoka India anayejulikana kwa mchango wake muhimu katika mpango wa silaha za nyuklia wa India. Aliratibu maandalizi ya majaribio ya Pokhran-I (1974 na Pokhran-II (1998). [1][2]

  1. "US denies visa to AEC Chairman". Iliwekwa mnamo 2008-10-21.
  2. "US denies visa to AEC Chairman - Debate in Parliament". Iliwekwa mnamo 2008-10-21.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rajagopala Chidambaram kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.