Rahmina Paullete
Mandhari
Rahmina Paullete, anayejulikana kama Rahmina, ni mwanaharakati wa hali ya hewa kutoka Kenya.[1]Yeye ndiye mwanaharakati mkuu wa kampeni ya #LetLakeVictoriaBreatheAgain inayotetea kurejeshwa kwa hali halisi ya Ziwa Victoria. Yeye pia ndiye mwanzilishi wa Kisumu Environmental Champions, shirika linalofanya uhifadhi wa mazingira ya wanyamapori na utetezi wa mabadiliko ya tabia ya nchi.
Elimu
[hariri | hariri chanzo]Rahimna alipata cheti cha elimu ya msingi nchini Kenya katika shule ya M.A Junior academy mnamo 2019.[2] Alisoma katika chuo cha Kisumu Senior Academy ambapo alimaliza na kupata cheti cha IGCSE. Kwa sasa yeye ni mwanafunzi wa Uhusiano wa Kimataifa katika Chuo Kikuu cha Daystar.[3]
Merejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2025-09-06. Iliwekwa mnamo 2025-10-10.
- ↑ "Kenyan teen environmentalist among delegates to COP26 - Naturenews.africa". naturenews.africa. Iliwekwa mnamo 2025-10-10.
- ↑ The African Mirror (2022-11-01). "13 young activists fighting for climate action in Africa - The African Mirror" (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-10-10.