Nenda kwa yaliyomo

Rahimullah Yusufzai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rahimullah Yusufzai (Kiuurdu: رحیم اللہ یوسُفزئی; 10 Septemba 19549 Septemba 2021) alikuwa mwanahabari, mchambuzi wa masuala ya siasa na usalama kutoka Pakistan.

Alijulikana zaidi kwa kufanya mahojiano na Osama bin Laden na kiongozi wa Taliban wa Afghanistan Mullah Omar, jambo lililompa umaarufu mkubwa kimataifa katika uandishi wa habari za masuala ya usalama na ugaidi.[1][2]

  1. Mumtaz Alvi and Yousaf Ali (10 Septemba 2021). "Veteran journalist Rahimullah Yusufzai passes away". The News International (newspaper). Iliwekwa mnamo 26 Novemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "وزیراعظم عمران خان اور آرمی چیف کا رحیم اللہ یوسفزئی کے انتقال پر اظہار افسوس". urdu.geo.tv website.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rahimullah Yusufzai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.