Nenda kwa yaliyomo

Rafinha (mchezaji aliyezaliwa 1985)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rafinha

Márcio Rafael Ferreira de Souza (anajulikana kama Rafinha; alizaliwa Septemba 7, 1985) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Brazil ambaye anachezea timu ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Brazil.

Jina lake linalotafsiriwa kutoka katika lugha ya Kireno kwa maana linamaanisha "Rafa mdogo".

Yeye anajulikana kama mkabaji mwenye ujuzi na mwenye ubora wa kucheza mpira, kasi, mwepesi na ni mchezaji mwenye nguvu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rafinha (mchezaji aliyezaliwa 1985) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.