Raffaele Riario
Mandhari
Raffaele Sansoni Galeoti Riario (3 Mei 1461 – 9 Julai 1521) alikuwa askofu na kardinali wa Italia katika enzi ya Renaissance, maarufu hasa kama mtengenezaji wa Palazzo della Cancelleria na mtu aliyemualika Michelangelo ahamie Roma. Alikuwa mpenzi wa sanaa. Pia katika umri wa miaka 17 alikuwa mtoto mdogo wa kwanza kufanywa kardinali katika historia ya Baraza la Makardinali.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "15th century overview - 06". Augnet (reference site to Saint Augustine of Hippo and the Order of Saint Augustine). Spirit Media Australia. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Novemba 2014. Iliwekwa mnamo 18 Novemba 2014.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |