Nenda kwa yaliyomo

Raffaele Calabro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Raffaele Calabro (10 Julai 1940 – 4 Agosti 2017) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki.

Alipadrishwa mwaka 1964, kisha akahudumu kama askofu wa Jimbo Katoliki la Andria, Italia, kutoka 1989 hadi 2016.[1]

  1. ↑ Diocese of Andria
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.