Rafael Zornoza
Mandhari

Rafael Zornoza Boy (alizaliwa 31 Julai 1949) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Hispania ambaye amekuwa askofu wa Dayosisi ya Cádiz na Ceuta tangu mwaka 2011.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Un obispo volcado con los jóvenes y la cultura" [A bishop devoted to young people and culture]. Diario de Cádiz (kwa Kihispania). 31 Agosti 2011. Iliwekwa mnamo 28 Januari 2023.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |