Rabia Bhuiyan
Mandhari
Rabia Bhuiyan (alizaliwa 1 Machi 1944)[1] ni mwanasiasa wa chama cha Jatiya Party (Ershad) na alikuwa mbunge wa Jatiya Sangsad (Bunge la Bangladesh) kupitia kiti maalum cha wanawake namba 19. Yeye ndiye mwanamke wa kwanza kuwa wakili mwandamizi (barrister) nchini Bangladesh.[2] Anajulikana zaidi kwa kuanzisha chuo cha sheria kinachoitwa Bhuiyan Academy, kilichopo mjini Dhaka.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- 1 2 "Dr Rabia Bhuiyan- The first female barrister of Bangladesh". Dhaka Tribune. 2019-01-25. Iliwekwa mnamo 2023-09-14.
- ↑ "The first female barrister of bangladesh -Dr Rabia Bhuiyan". weku.io. Iliwekwa mnamo 2020-11-08.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rabia Bhuiyan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |