Rabbi Matondo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rabbi Matondo

Rabbi Matondo (amezaliwa Septemba 9, 2000) ni mchezaji wa soka wa Wales ambaye anacheza kama mshambuliaji wa pembeni katika klabu ya Schalke 04 ya Ujerumani na timu ya taifa ya Wales.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rabbi Matondo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.