Quotidiano di Sicilia
Mandhari
Quotidiano di Sicilia ni gazeti la kila siku la kikanda la Italia linalohusiana na kisiwa cha Sicilia.[1]
Historia
[hariri | hariri chanzo]Quotidiano di Sicilia kilianzishwa mwaka 1979 na kipo mjini Catania. Mnamo 2008, gazeti hili lilikuwa na usambazaji wa nakala 21,500.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Newspaper circulation in 2008 Archived 2011-07-22 at the Wayback Machine Accertamenti Diffusione Stampa