Nenda kwa yaliyomo

Jiji la Quebec

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Quebec City)
Jiji la Quebec
Nchi Kanada
Mkoa Quebec
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 549,459
Tovuti:  www.ville.quebec.qc.ca
Sehemu ya Mji wa Quebec

Quebec (kwa Kiingereza: Quebec City; kwa Kifaransa: Ville de Québec) ni mji mkuu na mji wa pili katika mkoa wa Quebec.[1]

Mwaka 2021 ulikuwa na wakazi 549,459, ila pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji lina wakazi 839,311. Eneo lake ni km² 454.26. Mji upo m 5 juu ya usawa wa bahari. Mji ulianzishwa mwaka 1608.[2][3][4]

  1. "Incorporation de Québec". 23 Oktoba 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Oktoba 2021. Iliwekwa mnamo 11 Machi 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Marceau, Stéphane G.; Rémillard, François (2002). Ville de Québec (kwa Kifaransa) (tol. la 4th). Montreal: Guides de voyage Ulysse. uk. 14. ISBN 2-89464-510-4.
  3. "Population and Dwelling Count Highlight Tables, 2016 Census". Government of Canada, Statistics Canada. 8 Februari 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Oktoba 2021. Iliwekwa mnamo 15 Februari 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Population and Dwelling Count Highlight Tables, 2021 Census". Government of Canada, Statistics Canada. 9 Februari 2022. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 9 Oktoba 2023. Iliwekwa mnamo 24 Aprili 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jiji la Quebec kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.