Qualcomm
Mandhari
Qualcomm Incorporated ni kampuni ya kimataifa ya Marekani yenye makao makuu San Diego, California, na ilisajiliwa rasmi katika jimbo la Delaware. Inatengeneza semiconductor, programu, na huduma zinazohusiana na teknolojia ya mawasiliano ya wireless. Qualcomm pia inamiliki hati miliki muhimu kwa viwango vya mawasiliano ya simu vya 5G, 4G, CDMA2000, TD-SCDMA, na WCDMA[1].
Tanbihii
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "First the FTC, now Apple: is Qualcomm's business model under threat?". Januari 23, 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |