Nenda kwa yaliyomo

Qiu Dahong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Qiu Dahong ( 6 Aprili 193011 Januari 2025) alikuwa mhandisi wa pwani na baharini wa China. Alihudumu kama mhandisi mkuu wa Bandari ya Uvuvi ya Dalian. Bandari Mpya ya Dalian, Bandari ya Mafuta ya Qinhuangdao, na miradi mingine mingi. Alikuwa profesa katika Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Dalian na aliongoza maabara kuu ya Taifa ya uhandisi wa Pwani na baharini. Alichaguliwa kuwa mwanachama wa Chuo cha Sayansi cha China mwaka 1991. [1]

  1. "讣告" (kwa Kichina). 大连理工大学. 2025-01-11. Iliwekwa mnamo 2025-01-11.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Qiu Dahong kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.