Nenda kwa yaliyomo

Purity Wangui Ngirici

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Purity Wangūi Ngìricì (alizaliwa 1978) ni Mwakilishi wa Pili wa Wanawake wa Kaunti ya Kirinyaga. Amefanya kazi afisini tangu Agosti 2017 baada ya chaguzi za jumla za tarehe 8 Agosti. Alichaguliwa kuwa afisini kwa tiketi ya Chama cha Jubilee akimrithi Mwakilishi wa Kwanza wa Wanawake wa Kìrìnyaga Mheshimiwa Winnie Karìmi Njūgūna.[1]

Maisha ya awali na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Ngìricì alilelewa katika kaunti ya Kìrìnyaga.[2] Amebeba shahada ya kwanza ya biashara kutoka Chuo Kikuu cha London.[3] Pia ni mfanyabiashara. Alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Wanawake wa Kenya (KEWOPA).

  1. "Breaking news, Business, Kenya, Politics, Sports, Lifestyle, Entertainment, Opinion, TV, Radio & Podcasts". Citizen Digital (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2026-01-19.
  2. B. T. Reporter (2018-09-14). "Purity Ngirici: Mt Kenya's new Mafia - Business Today Kenya" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2026-01-19.
  3. "Hon. Ngirici, Purity Wangui | The Kenyan Parliament Website". www.parliament.go.ke (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2026-01-19.