Purace

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mlima wa Puracé

Purace ni mlima wa Andes katika nchi ya Kolombia (Amerika Kusini).

Urefu wake ni mita 4,650 juu ya usawa wa bahari. Cráter Volcán Puracé - panoramio.jpg

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]