Firigogo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Pteroclididae)
Jump to navigation Jump to search
Firigogo
Firigogo wa Lichtenstein
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Pteroclidiformes (Ndege kama firigogo)
Familia: Pteroclididae (Ndege walio na mnasaba na firigogo)
Jenasi: Pterocles Temminck, 1815

Syrrhaptes Illiger, 1811

Firigogo ni ndege wa nyika wa jenasi Pterocles na Syrrhaptes katika familia Pteroclididae. Wataalamu wengine wanawaainisha katika jenasi moja Pterocles. Wanafanana kidogo na njiwa lakini ni wanono kuliko hawa. Wana rangi za kamafleji, kwa sababu hukitafuta chakula kwa tambarare wazi. Manyoya ya tumbo, yale ya dume hasa, yamerekebishwa kufyonza maji. Hii inawezesha ndege kuwabebea makinda maji. Hula mbegu, zile za Leguminosae hasa na pia punje za nafaka. Jike huyataga mayai 2-4 chini ndani ya tundu ya kina kifupi.

Spishi ya Afrika[hariri | hariri chanzo]

Spishi za mabara mengine[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]