Prokaryota
Mandhari
Prokaryota (kutoka Kigiriki πρό, pró, yaani 'kabla', na κάρυον, káruon, yaani 'kiini') ni kiumbehai asiyeonekana kwa macho tu ambaye kwa kawaida anaundwa na seli moja tu isiyo na kiini na vinginevyo vilivyomo ndani ya utegili na utando wake [1].
Kwa sasa viumbehai wa aina hiyo wanagawiwa katika domeni mbili: Bakteria na Archaea. Domeni ya tatu, Eukaryota, inaundwa na viumbehai wenye kiini.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Prokaryote versus eukaryote, BioMineWiki Archived 2012-10-25 at the Wayback Machine
- The Taxonomic Outline of Bacteria and Archaea
- The Prokaryote-Eukaryote Dichotomy: Meanings and Mythology
- Quiz on prokaryote anatomy
- TOLWEB page on Eukaryote-Prokaryote phylogeny
| Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Prokaryota kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
