Proklo wa Konstantinopoli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Proclus of Constantinople)
Mchoro mdogo juu yake.

Proklo wa Konstantinopoli (alifariki karibu na Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 24 Julai 446) alikuwa askofu mkuu wa mji huo kuanzia mwaka 434 hadi kifo chake[1].

Alitetea imani ya kuwa Bikira Maria anastahili kuitwa Mama wa Mungu dhidi ya askofu mkuu wa jimbo Nestori[2]

Anaheshimiwa tangu kale na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Oktoba[3] au 20 Novemba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/74960
  2. The works of Proclus consist of 20 sermons (some of doubtful authenticity). Daniel 1911 cites Migne, Patrologia Graeca lxv. 651) Five were published by Cardinal Mai, Daniel 1911 cites Spicilegium Romanum, iv. xliii. lxxviii. of which 3 are preserved only in a Syriac version, the Greek being lost; 7 letters, along with several addressed to him by other persons; and a few fragments of other letters and sermons. Daniel 1911 cites Socrates, Ecclesiastical History, vii. xxvi., and passim; Theophanes, sub annus 430; Tillemont, Mém. eccl. xiv. 704; AA. SS. Act. x. 639. Proclus was cited by Cardinal John Henry Newman for his work on mariology and his strong support of the conciliar dogma on the Theotokos. Proclus was cited by Cotton Mather in his work entitled Psalterium Americanum (a commentary on the Book of Psalms) for his view on the book of Psalms. Mather directly quotes Proclus in a five-line quotation about the purposes for reading the Psalms.
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.