Prem Tinsulanonda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha yake.

Prem Tinsulanonda (kwa Kithai: เปรม ติณสูลานนท์; 26 Agosti 1920 - 26 Mei 2019) alikuwa afisa wa jeshi la Thailand na mwanasiasa aliyetumikia kama Waziri Mkuu wa Thailand kutoka tarehe 3 Machi 1980 hadi 4 Agosti 1988.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Prem Tinsulanonda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.