Prayut Chan-o-cha
Mandhari
Prayut Chan-o-cha (wakati mwingine inaandikwa Prayuth Chan-ocha; kwa Kithai: ประยุทธ์ จันทร์โอชา; amezaliwa 21 Machi 1954) alikuwa afisa wa jeshi la Thailand, mwanasiasa, aliyehudumu kama Waziri Mkuu wa Thailand kutoka 2014 hadi 2023.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Prayut Chan-o-cha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |