Pourya-ye Vali
Mandhari
Pahlavān Mahmoud (anajulikana zaidi nchini Iran kama Pouryā-ye Vali; alifariki 1322) alikuwa bingwa wa mieleka ya jadi ya Kipahlavani, mwalimu wa Usufi na mshairi kutoka Iran ya karne ya 14. Alikuwa maarufu kwa nguvu zake za pekee. Baadaye aliheshimiwa kama mtakatifu mlinzi wa mji wa Khiva nchini Uzbekistan.[1]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Alexey Arapov: Historical Monuments of Uzbekistan. Editor: San'at, Tashkent 2016, ISBN 978-9943-17-075-9, Chiva, page 101.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pourya-ye Vali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |