Mnara wa taa wa Ponta do Lobo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Ponta do lobolighthouse)

Mnara wa taa wa Ponta do Lobo Ni mnara wa taa uliopo karibu na Ponta do Lobo, Mashariki mwa kisiwa cha Santiago, nchini Cape Verde. Mnara huu wa taa upo umbali wa kilomita 48 mashariki mwa kijiji cha Vale da Custa, na km 11 kaskazini mwa makao makuu ya Praia.

Mnara wa taa wa Ponta do Lobo ulijengwa mwaka 1887 na ni wa pili wa zamani katika kisiwa hicho. Ni mnara wa taa ulio katika umbo la mstatili wa mita 9,uliowekwa kwenye nyumba ya mlinzi juu ya ghorofa moja.<ref>https://www.mindat.org/feature-3374503.html,/ref>

Marejeo[hariri | hariri chanzo]